Tanzania

Language: Kiswahili (Swahili)

Mrs. Heleni Kassanga

1. Lini umekuja hapa Marekani?

Nimeami Marekani Aprili ya 2001

2. Huna honaje maisha hapa Marekani?

Maisha ya hapa Marekani nimagumu sana. Na nimagali sana kuliko kwetu Tanzania.

3. Ulipata matatizo gani kujianzisha hapa Marekani?

Tatizo niliokuwano ni kutokuongea luga.

4. Ushauri gani hungependa kuwapa watu wanaotaka kuamia Marekani?

Ushauri wangu ni kabla ya kuja hapa Marekani wanjifunze Kingereza kwanza

Mr. Mohamed Ali

1. Nimeami Marekani mwaka 1995

2. Nilipoamia hapa chakuanza nime jiandikisha ya Kingereza. Hiliniweze kuelewa luga.

3. Matatizo niliokuanayo hilikua kutokujua Kingereza.

4. Ushauri wangu kwa watu wengine ni wajuvunze Kigeresa kama wanataka kuji endeleza hapa.

Fatma Juma

1. Nimekuja Marekani mwaka 1998

2. Maisha yalikua magumu mwanzo, hutamaduni wahuku nitofauti na wa nyumbani Tanzania. Nilijisikia mkiwa!

3. Hiliku vigumu kukutana. Baada ya miezi nikanza shule ya kingereza na nikapata marafiki hambao wakanionyesha vituvya kufanya.

4. Ushauri wangu kwa wanaotaka kuja Marekani ni wajitaidi kutafuta marafiki wazuri hambao wata wasaidia kutafuta kazi.

Benjamin Waikoka

1. Nimefika hapa mwaka 2005

2. Maisha ya hapa Marekani yana kuenda haraka haraka. Kuliko niloyazohea nyumbani.

3. Nimekuja Marekani kutafuta kazi. Nikapata kazi. Nilikua nikifanya kazi masaa 60 kilia weeki. Kazi ngumu nilikua sina hata muda yakufanya kituchochote. Mabili yaliku mengi kilasiku .

4. Ushauri niliokuwanao ni watu waji taharishe, waende shula ya kingereza.

Peter Mrema

1. Mimi na mkewangu tume hamia Marekani mwaka 1993

2. Maisha hapa Marekani yana enda haraka haraka.

3. Matatizo niliyopata ni kutafuta kazi ningumu kama hauna marafiki waku kusaidia.

4. Ushauri wangu ni kwanza jifunze kuongea kingereza. Chapili tafuta watu wa nymbani waliokuya hapa mwanzo hili wakusaidie kutafuta kazi

TOP